Vijana na Maadili

Categories: Religious

About This Event

HII NI KUBWA ZAIDI YA YOTE! MOMBASA,
MMEJIANDAA?!
Baada ya miaka miwili ya kusubiri, Kongamano la Al-Haajar TV inarejea kwa kishindo! Safari hii tunakuja na jambo kubwa, lenye historia, mafunzo na ujumbe utakaogusa Ummah!
Al-Haajar TV, kwa kushirikiana na Reaching Out Initiative, inawaandalia VIJANA NA MAADILI – KONGAMANO LA MWAKA (TOLEO LA 3)! Hili si tukio la kawaida, ni mkusanyiko unaokuja kuacha alama!
9 Bandari Maritime Academy, Mombasa
99 Je, mko tayari kwa kile kinachokuja? Je, Mombasa iko tayari kushuhudia historia nyingine?
Endelea kufuatilia Al-Haajar TV, tutakapoendelea
kuwajulisha mengi zaidi na makubwa yanakuja!

Event Details

Date: December 6, 2026
Time: 8:00 am - 2:00 pm
Venue: Bandari Maritime Amphitheater
County: Mombasa
🌐 Visit Website
Scroll to Top